News

TRCS - HQ : Katibu Mkuu TRCS Ndg. Felician Mtahengerwa akutana na Balozi wa TRCS Ndg. William Samwel Malecele ( LE MUTUZ)

Katibu Mkuu Tanzania Red Cross Society Ndg. Felician Mtahengerwa amekutana na Balozi wa TRCS Ndg. William Samwel Malecele ( LE MUTUZ) alipokuja kutembelea makao ya Tanzania Red Cross Society Mikocheni, jijini Dar es Salaam.

 

 

MAADHIMISHO YA SIKU YA MSALABA MWEKUNDU DUNIANI TAREHE 8 MEI

Tanzania Red Cross Society yaadhimisha miaka 59 tangu kuanzishwa kwake 1962 nchini Tanzania ,Ambapo Mkurugenzi wa idara ya maendeleo na matawi Ndg. Jonston Wenston kwaniaba ya Katibu Mkuu wa TRCS leo hii tarehe 8/5 ameongoza wafanyakazi wa TRCS Makao Makuu kwakuadhimisha maadhimisho hayo kwakugawa misaada katika kituo cha watoto yatima Charambe Community Center Mbagala wilaya ya Temeke. Akipokea msaada huo Afisa Ustawi wa jamii Ndg. Neema Mambosho ameishukuru TRCS na uongozi wote kwakupeleka mahitaji hayo

 

 

logo
Mwai Kibaki Road, Plot No. 53, Block C, Mikocheni B, P.O. Box 1133, Dar es Salaam, Tanzania

Visitors Counter

Today92
Yesterday465
This week2060
This month3326
Total301937