TRCS MBEYA: Tanzania Red Cross Society yatembelea waathirika wa mafuriko wilayani Kyela mkoani Mbeya
TRCS imetembelea wahanga na waathirika wa mafuriko katika kijiji cha Itope na Lubaga wilaya ya Kyela mkoani Mbeya na kuangalia hali ya mazingira ya sasa na kufanya tathmini ya madhara yaliyojitokeza na vipi yameathiri wanachi hao