News

MAADHIMISHO YA SIKU YA MSALABA MWEKUNDU DUNIANI TAREHE 8 MEI

Tanzania Red Cross Society yaadhimisha miaka 59 tangu kuanzishwa kwake 1962 nchini Tanzania ,Ambapo Mkurugenzi wa idara ya maendeleo na matawi Ndg. Jonston Wenston kwaniaba ya Katibu Mkuu wa TRCS leo hii tarehe 8/5 ameongoza wafanyakazi wa TRCS Makao Makuu kwakuadhimisha maadhimisho hayo kwakugawa misaada katika kituo cha watoto yatima Charambe Community Center Mbagala wilaya ya Temeke. Akipokea msaada huo Afisa Ustawi wa jamii Ndg. Neema Mambosho ameishukuru TRCS na uongozi wote kwakupeleka mahitaji hayo

 

 

logo
Mwai Kibaki Road, Plot No. 53, Block C, Mikocheni B, P.O. Box 1133, Dar es Salaam, Tanzania

Visitors Counter

Today10
Yesterday465
This week1978
This month3244
Total301855