Rais wa Tanzania Red Cross Society (TRCS) Mhe. David Kihenzile akiongoza zoezi la upandaji miti kuunga mkono jitihada za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kulinda na kutunza Mazingira ambaye aliamua kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kupanda miti.
Shughuli hiyo imehudhuriwa na Mwenyekiti wa Red Cross Tawi la Kilimanjaro Mheshimiwa Ester Malleko pamoja na Mratibu, Voluntia wa Red Cross Dodoma